Tanzania Unforgettable
@TTBTanzania
Discover the magic of Tanzania with us. Join us on a journey into heart-stopping wildlife, stunning landscapes, and rich culture. #EmbraceTheUnforgettable
ID:704667277929652224
http://www.tanzaniatourism.go.tz 01-03-2016 13:59:05
2,3K Tweets
14,8K Followers
359 Following
Follow People
The director general of Tanzania Tourist Board Mr. Ephraim Mafuru participated fully in the launch of the film #AmazingTanzania in China 🇨🇳, Tourist Board is ready to promote the Tanzania tourism attractions.
Jopo la Wataalamu kutoka sekta ya utalii nchini Morocco na jopo la wataalamu wa Sekta ya Wizara ya Maliasili na Utalii nchini wamekutana na kufanya mazungumzo yaliolenga kuimarisha ushirikiano katika kutoa huduma bora za utalii pamoja na kuvitangaza vivutio vya utalii vilivyopo 🇹🇿 na Morocco.
Located 7km from Morogoro Town, Kisamvili Culture Camp is a local camp at the top of Uluguru Mountains, from this camp you can have an extraordinary view of Morogoro town and its landscape 😍 will you dare to stay at this camp? #regrowtanzania #tanzaniaunforgettable
Kama babe hajawahi kukupeleka vacay, hakikisha mara hii unampeleka wewe. Shiriki challenge ya Likizo Time na ujishindie nafasi ya kulala bure kwe ye hoteli ya kitalii wewe na mpenzi wako.
#TanzaniaUnforgettable
#Likizotime
Mandhari ya @mountroyalhotel iliyopo ndani ya mkoa wa Iringa ambayo ni moja ya sehem ambazo washindi wetu watapata nafasi ya kwenda na ku-spend sikukuu za mwaka mpya na Krismasi.
Bado hujachelewa shiriki katika likizo time challenge na ujipatie nafasi hii.
#Likizotime
Sio kila siku unauliza wenzako hapo ni wapi, hii ni zamu yako sasa! Shiriki katika challenge hii ya likizo time sasa tukupeleke @serenahotelstz yenye hadhi ya kitalii na u-enjoy.
#TanzaniaUnforgettable
#Likizotime
#likizotimechallenge
How beautiful is Mount Royal Villa Hotel (Iringa)?? 😍🥰
Now, imagine upate kuwa hapa na umpendaye Christmas na Mwaka Mpya ☺️🥺
Kuna challenge ya Likizo Time. Bado unaweza kushiriki kupata nafasi ya kushinda🙌
#TanzaniaUnforgettable
#LikizoTime
Sasa #Likizotime tumekuletea mchongo wa kuifurahia likizo yako. Shiriki ili uweze kupata nafasi ya kusherehekea Krismasi na Mwaka mpya kwenye moja ya hoteli kitalii Tanzania (wewe pamoja na umpendae-couple).
#likizotime
#likizotime challenge
Sawa hujasave vya kutosha huu mwaka basi shiriki katika challenge ya likizo time upate nafasi ya kutembelea hoteli nzuri za kitalii bure kabisa.
#TanzaniaUnforgettable
#Likizotime
December ni mwezi wa kumbukumbu, kusanya uwapendao twende mbugani Piga namba 0784 294 365 kwa maelezo Zaidi.
#tanzaniaunforgettable
#LikizoTime