Temidayo
@thisistemidayo
I write & I do Videos | @CenturyCL & @hade_travel | Head of Digital - Crown Media - Tweets are my Own Thoughts
ID:2920448416
https://tos.buzzsprout.com 13-12-2014 22:05:31
67,0K Tweets
16,5K Followers
1,0K Following
Certified Leaders #Uongozi !
“Number 7 represents perfection. You are fortunate and unique, tasked with bringing about change and making a difference”. - Former President of URT H.E. Jakaya Kikwete
Asante sana UONGOZI Institute & Aalto University Salma Ali Hassan Thomas J. Kibwana
#NasahaZaAAH
Umwonapo Chizi anaokota makopo barabarani usimcheke, ukiona Mtu anatembea anaongea mwenyewe usimdhihaki, ukiona Vijana wapo mtaani hawana ajira usiwabeze, ukiona Mtu anafanya kitu kwa kukosea usimcheke, chochote ukionacho kwenye hii dunia ambacho hakipo sawa kina
Rais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa ametia saini Muswada wa Huduma za Afya kwa Wote muda mchache kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkali.
#CrownHabari #AfrikaYaKusini #HapaNiNyumbani
Kikosi cha awali cha Ujerumani kuelekea EURO 2024 itakayofanyika Ujerumani Juni 14 - Julai 14.
Mats Hummels wa Doturmund hajatoboa, Toni Kroos, Manue Nuer wameyoboa. #CrownSports