iddy nonga(@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

🚨Huyu siku Simba ikifanya vizuri atarudi tu,nipo hapa 😂, Simba mna mashabiki wengi walioenda Yanga !!....

🚨Huyu siku Simba ikifanya vizuri atarudi tu,nipo hapa 😂, Simba mna mashabiki wengi walioenda Yanga !!....
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐖𝐄𝐓𝐔, 𝑻𝑼𝑵𝑨𝑰𝑱𝑬𝑵𝑮𝑨 𝑻𝑰𝑴𝑼 𝒀𝑬𝑻𝑼.

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Simba kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi uwanjani ni burudani inayowaleta pamoja mamilioni ya Watanzania katika kila kona ya nchi yetu, kwa namna ya kipekee.

Hongereni Simba kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi uwanjani ni burudani inayowaleta pamoja mamilioni ya Watanzania katika kila kona ya nchi yetu, kwa namna ya kipekee. #KariakooDerby
account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

“Rais Samia yeye mpira haukuwa mambo yake, yeye aliendekeza zaidi masomo.

“Mimi hapa Tanzania ni shabiki wa hao wanaongoza kwa kuchukua makombe, nyumbani tupo mchanganyiko wapo mashibiki wa Simba wengine Yanga.
👇🏼

Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Katika Hali ngumu waliyonayo United, tumaini na faraja yao pekee inatoka miguuni mwa huyu bwanamdogo. Anakaba,anapasia,anatembea na boli kama hakijatokea kitu. Suala la timu kuwa na nyakati mbaya wala si habari kwake. Hii ni stori ya simba kwenye zizi la ng’ombe!