Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profileg
Freeman Mbowe

@freemanmbowetz

Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUA

ID:3544646356

linkhttp://www.mbowe.org calendar_today04-09-2015 12:20:30

1,1K Tweets

630,5K Followers

499 Following

Follow People
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kilimanjaro imesimama kuhesabiwa!

Asanteni sana wana wa Kilimanjaro kwakujitokeza kwa wingi kwenye maandamano yetu ya leo, ambayo yanahitimisha awamu ya kwanza ya maandamano ngazi za mikoa.
Tumeunganisha Watu, wake kwa waume, wazee, vijana kwa watoto, na kufikisha ujumbe na…

Kilimanjaro imesimama kuhesabiwa! Asanteni sana wana wa Kilimanjaro kwakujitokeza kwa wingi kwenye maandamano yetu ya leo, ambayo yanahitimisha awamu ya kwanza ya maandamano ngazi za mikoa. Tumeunganisha Watu, wake kwa waume, wazee, vijana kwa watoto, na kufikisha ujumbe na…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Asante Sengerema. Asante Victoria!

Madai ya Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kupunguza gharama na ugumu wa maisha ya Watanzania ndio sababu za msingi sana zilizotukutanisha pamoja, kwa wingi wetu kote tulipopita tangu kuanza maandamano yetu. Watanzania mmejitokeza kwa…

Asante Sengerema. Asante Victoria! Madai ya Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kupunguza gharama na ugumu wa maisha ya Watanzania ndio sababu za msingi sana zilizotukutanisha pamoja, kwa wingi wetu kote tulipopita tangu kuanza maandamano yetu. Watanzania mmejitokeza kwa…
account_circle