Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud amepinga hatua ya Serikali kufunga Ziwa Tanganyika.
Bwana Masoud amesema mpango huo si wa kitafiti wala kisayansi na itawakosesha wavuvi wengi riziki yao ya kila siku.
#MwanzoHabari
Zaidi: youtu.be/aIL6LmlMUrc
๐จ TUNA SHUGHULI NAO WAKUSANYA MAPATO ๐ฆ๐ช
#NextMatch
Mashujaa Fc ๐ KMC Fc
๐ #NBCPremierLeague
๐ Saa 10 Jioni
๐๏ธ 08.05.2024
๐๏ธ Lake Tanganyika
Nb: HII NI FAINALI KWETU NALAZIMA TUSHINDE